SIRI MPYA ZA BRAND ZINAZOUZA ZAIDI POPOTE.
Jifunze Jinsi Ya Kujulikana,Kuaminika na Kukubalika Kwa Wateja Wako.\\r\\n\\r\\nJifunze Jinsi Ya Kujitenga Kutoka Kwa Washindani Wako,Kuuza Zaidi Kwa bei ya Juu na Kutawala Soko Lako.
Unataka KUJENGA BRAND Yako WEWE na Biashara Yako?
....
Unataka Kuongeza Mauzo Yako Mara MBILI au mara TATU-katika Soko Lolote.?
....
Unataka Kuongeza THAMANI Yako Sokoni Ili ULIPWE Zaidi?
....
Madhumuni ya kitabu hiki ni kukupa mfululizo wa Siri, mbinu, mikakati, na maoni mapya ambayo unaweza kutumia mara moja kuongeza mauzo zaidi, haraka na rahisi kuliko hapo awali Pamoja na kujenga BRAND imara katika Biashara yako.
....
Mtaalamu wa BRAND na MAUZO Mwl.Benjamin Madaha ameona Mbinu hizi Mpya zikisaidia watu wengi kama wewe kufanikiwa zaidi katika biashara zao. Wengine wamekuwa mamilionea kama matokeo ya kusikiliza na kutumia maoni yake .
...
Kila kitu kimedhibitishwa kufanya Kazi.
Soma na tumia Siri hizo mpya zisipokusaidia unavyotaka Piga Simu 0693002736 kurudishiwa PESA yako ndani ya mwaka mmoja kamili ( tumia Siri HIZI Kwa mwaka mmoja kamili kama huoni matokeo Warranty ipo)
....
UTAJUTIA saana! Kuchelewa Kusoma Kitabu hiki miaka 6 iliyopita.
Nikutakie usomaji mwema na mafanikio tele.
...
Kabla sijasahau Ukishamaliza KUNUNUA kitabu chako nitafute WhatsApp kwa 0693002736 kuingizwa Katika Darasa au Course maalumu ya \\\" BRAND\\\" Bure Kabisa Miaka yote na utauliza maswali yako huko na kupewa Msaada Kwa Muda mrefu
I VALUE YOU!