SIRI 10 ULIZOFICHWA KUHUSU MAHUSIANO/NDOA
SIRI 10 ULIZOFICHWA KUHUSU MAHUSIANO/ NDOA
Kama tunavyojua, uchumba na ndoa ni sehemu muhimu Sana ya maisha yetu. Lakini mara nyingi tunakumbana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kuathiri uhusiano wetu na mwenzi wetu. Kitabu hiki kinatoa suluhisho la changamoto hizo na kinaweka wazi siri kumi ambazo zitakusaidia kujenga Uchumba imara na wenye furaha. Hivyo, kama unataka kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kuwa na uhusiano mzuri na mwenzi wako basi, kujua asili yake na tabia gani mnaendana, kujua misimu migumu mtayopitia mkiwa pamoja na mengine kibao basi hiki ndicho kitabu sahihi kwako.
Ebook hii ina mifano ya kweli na ushauri wa kitaalamu ambao utakusaidia kutatua changamoto zako za kila siku ni wewe kuweka katika vitendo.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza