Siri 10 Bora Za Kuishi Na Mwanaume
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 23, 2023
Product Views:
768
Sample
Vitu ambavyo wanaume hawatamani kukwambia kuhusu wao, vitu ambavyo wanavitaka na wasivyovitaka lakini hawawezi kukwambia moja kwa moja
Mambo ambayo mwanaume hawezi kukwambia moja kwa moja kwamba anayahitaji au hayahitaji kuyaona kutoka kwako, hakuna mwanaume atakaye kwambia ila mimi nitakuambia kwenye kitabu hiki.
Kuna mambo ambayo ukimfanyia mwanaume ataona ni moja ya mwanamke mwenye hekima sana ataongeza upendo sana kwako na kukujali mno ,
Lakini pia kuna mambo ambayo mwanaume hatamani umfanyie kwani utamuumiza kimyakimya na utapunguza upendo wake kwako.
Nimekuandikia siri hizi kumi zikufungue macho na zikusaidie kuboresha mahusiano yako.