Sina Hatia Season 03
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 29, 2022
Product Views:
3,795
Sample
Sina Hatia Season 03
Sayari ya mahusiano haijaumbwa kwa ajili ya kutawaliwa na watu wenye mioyo miepesi yenye kutovumilia karaha na machungu kutoka kwa mwenza. Ili uweza kuishi katika sayari hii yakuhitaji uwe na moyo wenye kuvumilia maumivu kutoka kwa mwenzi wako. Yapo mengi yanazungumzwa kuhusu mapenzi lakini ebu tuivae roho na nafsi ya Kauthar katika mkasa huu wa kusisimua ambaye anaingia katika hatia ya kumuua mume wake. Kisa hichi kitaenda kukufungua akili kuhusu sayari ya mahusiano.