SIKUKUMBUKI MAX: Ushujaa Wako Umekuponza
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 23, 2021
Product Views:
2,545
Sample
Inakuwaje pale ndugu wawili wanapozama katika mapenzi na kujikuta katika sokomoko la mahaba? SIKUKUMBUKI MAX ni riwaya iliyosheheni mkasa wa aina yake. Max Dunga, Rachel Tungu pamoja na Jaspa Songo wanajikuta katika hatihati nzito yenye maswali yatamaniyo majibu ya haraka. Taifa la Nduka na gereza la Bulangu vinaifanya riwaya hii kuwa na mvuto wa aina yake wenye lugha murua na mawanda mapana ya kufikirika. Riwaya hii imeandikwa kwa ufundi unaomuweka msomaji katika taharuki nzito yenye kugusa hisia. Ni hadithi isiyowekwa chini!