Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Sikitiko - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Sikitiko

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 21, 2023
Product Views:
632
In category:
Sample

Sikitiko

Ooh!!!!! Mungu wangu nisaidie mja wako....." Nilisema huku machozi yakinilengalenga nikiwa njiani naelekea ufukwe wa Oysterbay, pembezoni mwa Jiji la Dares salaam. Haikuwa hiari yangu kusema hivyo nikiwa peke yangu na wala sina wa kunisikiliza ila ni masahibu ya ulimwengu, seuze kuninyamaza. Nilihisi dunia imenitenga sikuwa na hata mtu wa kunifuta machozi yaliyoanza kunitiririka. Moyo wangu nilihisi unachinyangwa chinyangwa kwa kisu kikali. Maumivu niliyokuwa nayo hayakuweza kuelezeka kwa maneno. Ufukwe wa Oysterbay siku hiyo ya Alkhamis haukuwa na watu wengi kama ilivyo kawaida yake katika siku za mwisho wa juma. Jua halikuwa na nguvu tena, lilianza kupoa na kuonyesha dalili dhahiri ya kuwasili kwa alasiri. Nilitembea taratibu kushuka chini, huku nyayo zangu zikizama katika mchanga japo uzito wangu ulikuwa mtihani kwa misukosuko iliyoniandama. Mbele yangu ilikuwa ni bahari yenye rangi ya kupendeza ya samai na upepo wa wastani uliotoka pwani kuja nchi kavu. Hakika shani ya ni kubwa na njia mojawaopo... Endelea.......!

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold