Sikai
Kama ilivyo kwa watoto wengi wazaliwao, Sikai ana ndoto. Mazingira alimozaliwa yanamfanya kushuhudia adha nyingi hasa vifo kwa wanajamii wake. Mbaya zaidi, kifo cha baba yake kwa sababu ya ugonjwa wa kifua kikuu. Sasa, Sikai anataka kuwa daktari ili asije kushuhudia tena maafa kwa ugonjwa wowote sababu tu ya kukosa huduma ya daktari. Hata kama udaktari utamtupa mkono, Sikai anao mbadala; liwalo na liwe, heri awe rubani wa ndege kwani ni utashi na mapenzi yake. Je, atakuwa daktari au rubani wakati mazingira yamejaa changamoto?
Kama ilivyo kwa watoto wengi wazaliwao, Sikai ana ndoto. Mazingira alimozaliwa yanamfanya kushuhudia adha nyingi hasa vifo kwa wanajamii wake. Mbaya zaidi, kifo cha baba yake kwa sababu ya ugonjwa wa kifua kikuu. Sasa, Sikai anataka kuwa daktari ili asije kushuhudia tena maafa kwa ugonjwa wowote sababu tu ya kukosa huduma ya daktari. Hata kama udaktari utamtupa mkono, Sikai anao mbadala; liwalo na liwe, heri awe rubani wa ndege kwani ni utashi na mapenzi yake.
Je, atakuwa daktari au rubani wakati mazingira yamejaa changamoto?