Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Shule Ndani Ya Kusudi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SHULE NDANI YA KUSUDI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 15, 2024
Product Views:
182
In category:
Sample

Nini kinafanya mtu akubali kukata tamaa?rnrnKipi kinamfanya mtu kufikia ndoto yake?rnrnNi maswali ambayo yalikuwa yakinitesa binafsi Kwa muda mrefu kabla ya kujua ukweli uliojificha nyuma ya Kila mtu aliyeshindwa na aliyefaulu.rnrnUkweli huu umefichika katika kusudi ambalo Kila mmoja analo.rnrnKila mwanadamu katika ulimwengu huu ameumbwa Kwa kusudi maalumu haijalishi kabila, rangi, taifa au lugha lakini amini Kuna kusudi la wewe kuwa Duniani.rnrnIkiwa unatamani kujua kusudi lililopo katika maisha yako, namna ya kutembea katika kusudi Hilo na kufikia ndoto, basi kitabu hiki "Shule Ndani ya Kusudi" kitakufaa.rnrnNinakuhakikishia kuwa majibu ya maswali yako kuhusu kusudi ulilolibeba, yapo ndani ya kitabu hiki.

Nini kinafanya mtu akubali kukata tamaa?

Kipi kinamfanya mtu kufikia ndoto yake?

Ni maswali ambayo yalikuwa yakinitesa binafsi Kwa muda mrefu kabla ya kujua ukweli uliojificha nyuma ya Kila mtu aliyeshindwa na aliyefaulu.

Ukweli huu umefichika katika kusudi ambalo Kila mmoja analo.

Kila mwanadamu katika ulimwengu huu ameumbwa Kwa kusudi maalumu haijalishi kabila, rangi, taifa au lugha lakini amini Kuna kusudi la wewe kuwa Duniani.

Ikiwa unatamani kujua kusudi lililopo katika maisha yako, namna ya kutembea katika kusudi Hilo na kufikia ndoto, basi kitabu hiki "Shule Ndani ya Kusudi" kitakufaa.

Ninakuhakikishia kuwa majibu ya maswali yako kuhusu kusudi ulilolibeba, yapo ndani ya kitabu hiki.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold