Shortcut Ya Kumpata Mwanamke Unayempenda
Hatua kwa Hatua za Jinsi ya Kumfuata, Kuongea Naye, Kumtongoza na kuingia kwenye Mahusiano na Mwanamke Unayempenda.
Utapata Faida Hizi na Nyingine Nyingi Unapomaliza Kusoma Kitabu Hiki;
-->Utajifunza Mistari, Swaga na Mada za Kumtongoza Mwanamke, Kwahiyo Hutopata Shida ya Kujua Nini cha Kuongea Ukiwa na Mwanamke Unayemtongoza.
-->Utajua Sehemu za Kwenda Kumpata Mwanamke Unayemtaka, Hivyo Hutopata Shida za Kubahatisha Kumpata Mwanamke Unayemtaka.
-->Utajua cha Kufanya Baada ya Kupata Namba Yake, Hivyo Utajua Umuambie Nini Kwenye Simu ili Muweze Kutoka Out.
-->Utajua Jinsi ya Kujibu \'Niambie\' Yake, Hivyo Hautaishiwa na Stori za Baada ya Niambie.
-->Utajua Nini cha Kufanya, Nini cha Kuongea na Jinsi ya Kuendesha First Date Yenu Ili Akukubalie Haraka Zaidi, Kwahiyo Utamfanya Akukumbuke Zaidi na Afurahie First Date Yenu.
-->Utajua Jinsi ya Kuingia Naye Kwenye Mahusiano Haraka, Kwahiyo Utamshawishi Muingie Kwenye Mahusiano Kirahisi.