SAYANSI YA MALENGO
Je, unataka Kutimiza Malengo Yako kwa kishindo pasipo kisingizo chochote? Je unataka kuwa mtaalamu wa Kutimiza Malengo na kupata mafanikio kwenye maisha yako? Una pata mashaka na maswali mengi kwanini wengine wanatimiza malengo yao lakini wewe bado? Basi kitabu cha SAYANSI YA MALENGO kina majibu yote ya kwa ndani ya kitabu hiki utajua kila kitu kuhusu malengo na kuanza Kutimiza Malengo Yako kwa kishindo ni suala la wewe kusoma kisha uhakika asilimia 100% kupata matokeo.rnrnChukua hatua sasa. Wow
Je, unataka kutimiza malengo yako kama ambavyo watu wengine wanatimiza malengo yao?
Kitabu cha “Sayansi Ya Malengo” ni chachu ya kuwa ngazi ya kupiga hatua na kutimiza malengo yako kwa kishindo pasipo kisingizio chochote, kwa sababu utajua kanuni, sheria....
...mambo yote muhimu ambayo yamesaidia watu ambao wamefanikiwa kutimiza malengo yao.
Kwahiyo kitabu hiki kina majibu yote kwanini wengine wanatimiza malengo yao lakini wewe bado?
Baadhi ya mambo utajifunza ndani ya kitabu hiki,
1. Jinsi ya kanuni ya smart (SMART GOAL SETTING) itakusaidia kupanga malengo yako kwa urahisi.
2. Malengo ni nini?
3. Aina 07 za malengo ambayo unapaswa kuyajua leo ili upige hatua kubwa kwenye maisha yako.
4. Hatua saba (07) za kuzingatia wakati unapanga malengo yako kiusahihi.
5. Namna rahisi ya kuwa dereva hodari wa kuendesha gari la kutimiza malengo yako.
6. Njia 08 rahisi za kuishinda tabia ya kughairisha malengo yako
7. Tumia kanuni ya 80/20 kutimiza malengo yako kwa kishindo.
8. Jinsi ka Kutengeneza Na kuandika To Do List ya malengo yako.
9. Siri 01 ya kuijua leo ili uanze kutimiza malengo yako leo pasipo kuwa na kisingizio chochote.
10. Kwanini unapaswa Kukubali mchakato wakati unatimiza malengo Yako?
11. Namna pekee ya kuwa mvumilivu na kuishinda roho ya kukata tamaa ya kutimiza malengo Yako.
Sura 11 zote utajifunza kwa kusoma kitabu hiki,
Kauli Mbiu: “Maisha Ni Kuthubutu”.