SANJAR Inuko La Shujaa
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 17, 2024
Product Views:
600
Sample
Kitabu cha Riwaya kilichosheheni visa kale, maisha ya uongozi, matabaka katika jamii pamoja na ukombozi na Mapenzi.
Maisha yanahitaji wale walio jasiri kuweza kusimama na kutetea haki za wale wanyonge. Maisha yanahitaji ukakamavu na kutokata tamaa, zaidi, unahitaji muungano na mshikamano wa watu katika kuyasaka mafanikio.
Yote hayo yanapatikana katika Riwaya hii ya SANJAR Inuko La Shujaa
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza