SALA KATIKA JNNK
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 07, 2023
Product Views:
1,620
Sample
Nisali sala zipi tangu ninapoamka hadi ninapoenda kulala ili nibarikiwe na Mungu?
Kusali ni kuongea na Mungu. Kuna sala ya sauti, ya tafakari na ya taamuli. Tunapaswa kusali wakati wote ili tuwe na baraka ya Mungu siku zote.
Tunasali tukisifu, tukiabudu, tukiomba, tukishukuru na tukiomba Toba. Sala yenye nguvu huendana na matendo mema ya mtu.
Mtafuteni Mungu maadamu anapatikana mwiteni maana Yu karibu. Na tena ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa...(Mt. 7:7ff)