SAIKOLOJIA YA PESA
MAMBO 64 YATAKAYOKUONGEZEA NGUVU YA UTAWALA KATIKA MAMBO YAHUSUYO FEDHA
Kuna vitu vingi vikubwa kwa vidogo kuhusiana na fedha ambavyo watu wakivifahamu vinaweza kuwasaidia namna ya kuitawala fedha katika maeneo mbali mbali kwa kuzingatia majira na nyakati wanazopitia. Kupata ufahamu juu ya mambo haya inawezakuwa ni ulinzi kwa mtu maana yatamuongezea hekima ya namna ya kuenenda kwa umakini kwenye uwepo wa fedha(ukwasi) na hata pale pasipokuwa na fedha(ukata) ili kumsaidia kupunguza matatizo yatokanayo na fedha lakini vilevile kumuongezea manufaa yatokanayo na fedha.
Karibu katika kitabu hiki tupate kushirikishana mambo mbali mbali kuhusu fedha ambayo yanaweza kukusaidia sasa au yakawa akiba yako baadaye katika mazingira mbalimbali yanayohusisha pesa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza