SAFARI YA UFUKWENI
Siku hiyo niliamka asubuhi mapema, wala sikupata usingizi vizuri. Usingizi ulikuwa wa mang'amung'amu, kila wakati nilishtuka na kuangalia saa ili mradi tu nisichelewe nikaachwa kwenye Safari ya Ufukweni.rnFuraha yangu iliongezeka pale nilipoona tunaingia katika lango la hoteli ya Ufukweni.rnNdani palikuwa na michezo ya kila aina, mapochopocho ndio usiseme, yaani tulifaidi mno. Natamani nawe ungekuwepo tukafaidi sote.
Siku hiyo niliamka asubuhi mapema, wala sikupata usingizi vizuri. Usingizi ulikuwa wa mang'amung'amu, kila wakati nilishtuka na kuangalia saa ili mradi tu nisichelewe nikaachwa kwenye Safari ya Ufukweni.
Furaha yangu iliongezeka pale nilipoona tunaingia katika lango la hoteli ya Ufukweni.
Ndani palikuwa na michezo ya kila aina, mapochopocho ndio usiseme, yaani tulifaidi mno. Natamani nawe ungekuwepo tukafaidi sote.