Best Seller
SAFARI YA NDOA BORA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 22, 2024
Product Views:
867
Sample
Ni dhahiri kwamba, kukosa maandalizi ya ndoa ndiko kunasababisha wazazi wengi kushindwa kuishi pamoja kwa amani, wanashindwa kuuvaarnutu wema, kushindwa kuishi maisha ya upendo, uvumilivu, unyenyekevu, kushindwa kurekebishana na kuonyana kwa saburi.rnrnKatika kitabu hiki tutaona changamoto mbalimbali za Ndoa za sasa, tutaona visababishi vya changamoto hizo, tutaona ni nini cha kufanya (maandalizi) ili kuepukana na changamoto za ndoa za sasa, ni nini cha kufanya ili kuweza kuishi Ndoa Bora na siyo bora Ndoa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza