Safari Kufikia Shauku Yangu
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 18, 2022
Product Views:
1,812
Sample
Safari Kufikia Shauku Yangu
Ni kitabu kinachozungumzia maisha halisia ya binti Careen. Anapitia mpito wa maisha magumu ili kuifikia shauku ya maisha yake aliyokuwa akitamani ifanikiwe anakutana na kupitia changamoto mbalimbali haikuwa rahisi kuifikia shauku yake. Fuatilia kitabu hiki chenye kuhamasisha na kuelimisha kutoka kwa mwandishi na muhamasishaji. Kama wewe ni mzazi au mlezi na ungependa mwanao afikie shauku yake hiki kitabu kimekuja wakati muafaka kwa ajili yako au mwanao “Usikubali mwanao aishi bila kufikia Shauku yake”