SABUNI ZA TIBA
Kitabu hichi kina msaidia mjasiriamali kutengeneza sabuni mbalimbali za tiba ya ngozi ,chunusi na matatizo mbalimbali ya ngozi
SUNRISE SABUNI YA MAGADI NA TIBA ni kitabu kilichoandikwa
kwa weledi mkubwa sana kinachohusu utengenezaji wa sabuni ya
magadi na tiba za aina mbalimbali.
Kitabu hichi ambacho kimetoa mwongozo ambayo itamuwezesha
msomaji kufahamu namna gani anaweza kutengeneza bidhaa yenye
ubora zaidi.
Katika kitabu hichi kuna mambo.yafuatayo
YALIYOMO
A. Wasifu wa mwandishi
B. Shukrani
C. Utangulizi
D. yaliyomo
1. SURA YA KWANZA
1.0. Historia ya sabuni
1:1. Utengenezaji wa sabuni
1:2Teknolijia ya sabuni
1:3. Eneo la ujenzi wa kiwanda
2. SURA YA PILI
2.1. Utengenezaji wa sabuni ya magadi na mche
2:2. Kazi ya malighafi za sabuni ya mche na magadi
2:3. Vifaa kinga katika utengenezaji wa sabuni
2:4. Hatua za uandaaji box
2:5. Kanuni mbalimbali za kutengeneza sabuni za magadi na
mche
2:6. Hatua za utengenezaji sabuni
2:7. Mambo ya kuzingatia katika kutengeneza sabuni za
magadi na mche
2:8. Jinsi ya kurudia ya mabaki ya sabuni
2:9. Mtaji na faida ya biashara
*3. SURA YA TATU*
3:1. Utengenezaji wa sabuni za tiba na kuongea
3:2. kazi za malighafi
3:3. kanuni zautengenezaji wa sabuni za tiba
3:4. Hatua za uandaji wa caustic soda solution
4. SURA YA NNE
4:1. Sabuni ya manjano
4:2. Sabuni ya alovera
4:3. Sabuni ya limao
4:4. Sabuni ya mwarobaini
4:5. Sabuni ya papai
4:6. Sabuni ya Habati soda
4:7. Sabuni ya parachichi
4:8. Sabuni ya ukwaju
4:9. Sabuni ya Mkaratusi
4:10.Sabuni ya nyanya
*5. SURA YA TANO*
5:1. Sabuni ya mwani
5:2. Sabuni ya mchele
5:3. Sabuni ya kahawa
5:4. Sabuni ya karafuu
5:5. Kwanini sabuni inawasha
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza