SABABU 3 KWANINI MALENGO YAKO HAYATIMII
Inawezekana mwanzoni mwa mwaka huu uliweka NEW YEAR'S RESOLUTIONS au malengo ya kutimiza mwaka huu lakini bado hujaona yakitimia. Tambua hizi sababu 3 kuu zinazo wafanya watu wengi kushundwa kutimiza malengo yao.
Kwanini watu hawatimizi malengo yao?
Nilitoa sababu nyingi zikiwemo;
a. Kutokujitambua
b. Marafiki
c. Kukosa malezi
d. Kujilinganisha na sababu nyingine.
Lakini badae nikaona kama vile nimemchanganya yule aliyeuliza swali kwa kumpa maarifa mengi. Nilijiskia kama vile nimeua mbu kwa kutumia tofali. Nikajisemesha kwamba lazima nitafuta sababu 3 kubwa zinazowafanya watu washindwe kutimiza malengo yao. Kama umehangaika sana kwa kujiuliza swali hilo hapo juu, basi majibu hapa chini yanaweza kuwa dawa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza