Sababu 10 Zinazo Changia Kuchelewa Kuolewa
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 02, 2022
Product Views:
1,317
Sample
Sababu 10 Zinazo Changia Kuchelewa Kuolewa
Maandiko yanasema kwamba, Kila jambo na wakati na majira yake na huu ndiyo msingi wa hoja yangu. Mwenyezi Mungu ameviumba vitu vyote tunavyoviona na tusivyoviona na kuviwekea utaratibu. Kwahiyo, ukifika wakati wa kuolewa utasikia msukumo wa ndani hata kukaa na wazazi utaona unabanwa ujue wakati umefika ukidharau kwa sababu zisizokuwa za lazima sauti hiyo itaendelea kukutesa moyo wako. Na hiki ndicho Dr.Myles Monroe anachotaka kutukumbusha kuwa tusidhani kuwa tupo hapa Duniani kwa bahati mbaya hapana, tupo kwa kusudi maaalum……..
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza