Riwaya Ya SIRI YA HUJAFA
Siri ya Hujafa ni antholojia inayohusu masuala ibuka yanayoathiri jamii ya wanaleo. Mwandishi amesawiri maudhui ya kisasa ambayo msomaji atajifunza mbinu mbadala ya kukimu maisha yake.
Siri ya Hujafa ni antholojia ambayo limeandikwa na Kaka Fred. Kaka Fred ni mwandishi tajika aliye na tajiriba pana kuhusu fasihi ya watoto. Kwenye riwaya hii, mwandishi amezingatia viwango vyote vya uandishi. Pata matumizi ya kisasa ya methali, nahau, misemo na tamathali Nyingine bambam. Mwanafunzi atapata maswali ya viwango vyote. Baada ya kusoma mwanafunzi atahitajika kuyajibu maswali ili kupima viwango vya uelewaji. Kaka Fred ni mchanganuzi wa lugha katika vyombo vya habari.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza