RIP Dear
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 25, 2022
Product Views:
3,781
Sample
Maisha Baada Ya Kifo Cha Mwenza
Kumpoteza mwenzi ni jambo gumu sana. Haliwezi kuelezeka kwa maneno ya kawaida. Kama hujawahi poteza mtu muhimu kama mwenza, hakuna maneno ambayo yatakupa ukweli kuhusu ukubwa wa uchungu ambao watu hawa wanapitia. Kupoteza mke ni janga, kupoteza mume ni changamoto. Japokuwa watu wanasema muda ukipita unaweza kusahau machungu, ukweli ni kwamba huwezi kusahau. Ni kidonda ambacho hata kama kitapona, lakini jeraha lake litaishi moyoni mwa mwenza huyu milele.