REAL ESTATE
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 02, 2023
Product Views:
487
Sample
REAL ESTATE
REAL ESTATE ni kitabu kinafundisha uendeshaji na uwekezaji kwenye Mali zisizo hamishika mfano nyumba za makazi, hoteli na nyumba za wageni, majengo ya ofisi na biashara, visiwa, mbuga, viwanja vya makazi na mashamba, mipango miji n.k
Kitabu kimeeleza jinsi ya kupata mtaji kwa ajili ya kuwekeza, hasara na faida za kuwekeza, soko la uwekezaji huu, sheria za uwekezaji, aina za uwekezaji, njia ya kukabiliana na changamoto za uwekezaji, umuhimu wa uwekezaji huu n.k
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza