Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Raha Ya Kufika Kileleni - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Raha Ya Kufika Kileleni

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 01, 2025
Product Views:
21
In category:
Sample

Mpendwa mwanaume,

Je, Umewahi Kuhisi Kama Mke Wako Anakutazama kwa Dharau?

  

Ni wakati wa kusimama na kuchukua hatua!


Wanaume wengi wanaishi katika hali ya kuvumilia ndoa zao kwa sababu ya tatizo moja tu: 


Hawapati heshima wanayostahili kutoka kwa wake zao. 


Na ukweli unauma—kama hufanikiwi kumridhisha mke wako kihisia na kimwili, heshima hiyo itaporomoka haraka sana.


Siku hizi, unaweza kugundua kuwa wakati wa tendo la ndoa, mke wako anaonekana yupo mbali kimawazo na kihisia.


Unahisi kama hufanyi vya kutosha kumridhisha. 


Lakini fahamu hili: unaweza kubadili hali hiyo leo!


Nisikilize, kama unataka kurudisha heshima yako na kumfanya mke wako akutamani tena, nimekuandalia mwongozo wa kipekee kupitia kitabu cha “RAHA YA KUFIKA KILELENI!"


Kila mwanaume anatamani kuheshimiwa, lakini ili kupata heshima hiyo, lazima kwanza umpe mke wako furaha ya kimwili na kihisia. 


Na ili uweze kufanikisha hilo ni lazima ujue maumbile ya mkeo vizuri, vinginevyo hutaambulia kitu. Lakini tatizo ni kwamba, wanaume wengi hawajui maumbile ya wake zao vizuri.


Ukiweza kuyafahamu hayo, utaweza kumfikisha mkeo kileleni haraka kila mara wakati wa tendo bila ya wewe kutumia nguvu nyingi.


Kitabu hiki kinakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kumridhisha mkeo, kuanzia maandalizi ya kisaikolojia hadi kwenye tendo lenyewe.


Utajifunza mbinu na hatua rahisi zinazokusaidia kumfanya mke wako akufikirie usiku na mchana. 


Hapa kuna baadhi ya mambo utakayojifunza ndani:


1. Njia 3 za kumaliza tatizo la kuwahi kufika kileleni (angalia page #28)


2. Jinsi ya kumuandaa mkeo kisaikolojia ili akikuona tu akuombe mfanye tendo (angalia page #32)


3. Maeneo 15 muhimu ya kumsisimua mkeo ili awahi Kufika Kileleni (angalia page #49)


4. Mikao 3 itakayomfikisha kileleni haraka wakati wa tendo kabla yako (angalia page #107)


5. Sehemu 3 zenye hisia nyingi mkeo kufika kileleni usipozifahamu utahangaika kumridhisha (angalia page #70)


6. Ishara kuu 3 zitakazokuonyesha sehemu zinazomsisimua zaidi mkeo (angalia page #87)


7. Ishara 3 zitakazokuonyesha mkeo amefika kileleni ili aache kukuigizia (angalia page #100)


8. Hatua 3 za kufuata ili mkeo afike kileleni mapema kabla yako (angalia page #93)


Na mengine mengi...


Ukiwa na kitabu hiki utapata kujua maumbile ya mke wako vizuri na utajua ni wapi panamsisimua zaidi na wapi pana mkera na utaweza kumsaidia afurahie tendo na akuone wewe ni shujaa wake kitandani na hivyo asitamani mwingine zaidi yako.


Kitabu hiki bei yake ni Tsh 57,000 lakini leo hii unakipata kwa Tsh 20,000 tu. Kama upo interested wahi kukichukua sasahivi kabla bei hiyo haijapanda.


Kupata kitabu chako bofya hapo juu palipoandikwa "BUY NOW" sasahivi kabla ofa hiyo haijakupita.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold