Pingu Za Dhahabu
Pingu Za Dhahabu
Watu wengi wanaingia katika ajira wakiwa na mawazo ya kuwa wajasiriamali. Wanaingia katika ajira wakiwa na mpango maalumu wa kutafuta mtaji na uzoefu wa jinsi ya kuendesha biashara. Baada ya kuingia katika ajira na kufanya kazi kwa muda, watu wengi mawazo yao huanza kubadilika. Wanapoteza malengo yao ya awali na kuanza kuona ajira ndio sehemu pekee ya wao kuendesha maisha yao. Wanasahau kuwa mara zote ajira huwa hazitoshi. Ili kuzitumia ajira kwa ufanisi, zinatakiwa kuchukuliwa kama mto ambao unapeleka maji baharini. Mtu anaingia katika ajira anasogea na kufika baharini. Kwa kufanya hivyo, mtu anatoa nafasi kwa watu wengine kuingia katika ajira
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza