Pesa Inaweza Kukutumikia Ukizijua Kanuni Za Mungu
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 19, 2020
Product Views:
2,565
Sample
Biblia ina misingi sahihi kuhusu elimu ya fedha
Mungu aliumba dunia kwa ajili ya mwanadamu, akamuumba mwanadamu kwa ajili yake ili amwabudu.
Kusudi kuu la Mungu ni mwanadamu atawapa uumbaji wa Mungu na kukipatia mahitaji yake ya kila siku.
Biblia ndio katiba ya ufalme wa Mungu hapa duniani, ndani yake ndiko kulikojaa lila aina ya utajiri na kanuni zake.
Pesa inawatumikia wale wanajua kanuni na sheria zake za kuongeza.
Ukizijua sheria za pesa sio tu kuwa pesa itajiongeza bali itajizidisha.