Pasua Kichwa
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 19, 2021
Product Views:
3,507
Sample
Kudanga hakujawahi kuwa sehemu ya maisha sahihi kwa watendaji. Wengine hufanya kwa shida, wengine ni pepo linalowakumba. Kimbembe anachokutana nacho Agness humu ndani anaamua kuacha maisha ya ubabaifu!
Maisha hayana kanuni, lakini mwenye maisha yake ana kanuni. Kwa Agness, kanuni yake ni maisha ya mteremko. Kutumia alichojaaliwa kwa wanaume wakware na wasio wakware.
Hujiona mtu mwenye kuziona fursa nyingi maishani mwake, bahati isivyo upande wake, hadumu nazo. Anakutana na madhila kila kukicha.
Hapumziki na wala hajifunzi. Mwishowe, anaingia mikononi mwa jitu shenzi liinaloishi jirani kabisa na mlango mkuu wa kuingilia kwa ziraili.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza