OKELLO NA AGABA WAMEMKARIBISHA BI. SHUJAA MJINI KAMPALA BALAA TUPU
OKELLO NA AGABA WAMEMKARIBISHA BI. SHUJAA MJINI KAMPALA BALAA TUPU
Afande Chacha Marwa ni askari polisi nchini Tanzania, mke wake anaitwa Kezekia Massawe. Bi. Kezekia Massawe amepewa jina Bi Shujaa na washiriki wake kwa sababu aliwahi kuwa mwanajeshi shujaa katika Jeshi la Anga nchini Tanzania. Baada ya kustaafu, Bi Shujaa na mume wake walipewa zawadi ya tiketi ya basi kutembelea nchi jirani moja ambayo walitakiwa wachague wenyewe. Baada ya majadiliano ya muda kati yao, yeye na mume wake walichagua kutembelea nchi ya Uganda. Basi siku ilipofika ya kuja Uganda, Bi. Shujaa na mume wake Afande Chacha Marwa walianza safari ya kuja nchini Uganda. Walipanda basi liitwalo MKULIMA HAFULII NG’O.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza