NJIA ZA KUPATA FEDHA BILA JASHO
Elimu ya fedha ambayo haipatikani mashuleni imewekwa ndani ya kitabu hiki. Usikikose kamwe.
Ndani ya Kitabu hiki utapata maarifa yaliyofichika
kuhusu fedha, uchumi na maendeleo ya watu kuanzia wewe binafsi hadi wajukuu
zako. Utapata uelewa wa jinsi ya kupata fedha bila jasho na hatimaye kufikia
hatua za uhuru wa kifedha. Uhuru utakaokupatia maisha ya kula raha duniani wewe
hadi wajukuu zako.
Mwandishi ni Mwekezaji katika Miradi mbalimbali na ni mwandishi
wa vitabu vya elimu ya fedha, Uchumi na maendeleo ya watu (Investor and Books
Author).
Uhuru wa kweli maishani. Uhuru wa Kifedha
A Lifestyle Where People Get
Endless Huge money.
Hapa Kazi tu au Hapa Bata tu; ni chaguo lako.