NJIA YANGU ILIYOJAA MATESO SEASON 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 27, 2021
Product Views:
2,309
Sample
Kila mwanadamu ana njia yake yakufikia hatima yake, ila kwa upande wangu njia yangu hii imejaa mateso kila atua
Riwaya ya njia yangu iliyojaa mateso, ni riwaya itakayokufunza mambo mengi sana hususani mapenzi, uwaminifu, maisha, uvumilivu n.k.
Ni njia iliyojaa mateso kwa mpitaji Imerida ambaye akuwai kuipata njia iliyosafi na salama toka alipo anza mahusiano yaje na kijana Isaya joe.
Basi ungana nae kwenye hii njia yake iliyojaa mateso ...........mpaka mwisho KARIBU SANA.