Njia Ya Mafanikio Kwa Kijana Mkristo
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 28, 2020
Product Views:
6,171
Sample
Mafanikio yana kanuni zake na mojawapo ni maadili sahihi. Uamuzi wa kuchagua maadili ya kukufanikisha uko mkononi mwako. Unataka kufanikiwa ukiwa mwenye furaha na amani? Chagua maadili ya NENO LA MUNGU
NJIA YA MAFANIKIO KWA KIJANA MKRISTO
Ni kitabu kizuri kilichoandikwa kwa lugha rahisi na ya kueleweka. Lengo la kitabu hiki ni kumsaidia kijana Mkristo kujijengea maadili binafsi yatakayomwezesha kuzifikia ndoto za maisha yake kwa furaha na amani. Kitabu hiki kinawafaa vijana wa rika zote wenye nia ya kufikia mafanikio mema