Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Njia Nilizopita 02 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NJIA NILIZOPITA 02

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 03, 2024
Product Views:
135
In category:
Sample

NJIA NILIZOPITA ni kitabu kinachoelezea namna mchakato wa Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwengu, na hadithi inayotakiwa kusomeka vizuri Kwa jamii. rnJe, umekuwa muhanga wa kukatishwa tamaa Kwa sababu ya fedha? rnJe, umeshindwa kuendelea mbele Kwa kuumizwa na watu uliodhania watakuvusha?? rnrnMajibu ya maswali hayo na mengine mengi nimekuandikia katika ebook hii utakayoweza isoma mahali popote na wakati wowote. rnUsipange kukosa ebook hii iliyojaa nguvu ya kukuinua toka sehemu Moja hadi nyingine.

NJIA NILIZOPITA ni kitabu kinachoelezea namna mchakato wa Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwengu, na hadithi inayotakiwa kusomeka vizuri Kwa jamii. 

Je, umekuwa muhanga wa kukatishwa tamaa Kwa sababu ya fedha? 

Je, umeshindwa kuendelea mbele Kwa kuumizwa na watu uliodhania watakuvusha?


Je, umeumizwa na maumivu ya kukataliwa?, magumu yamekusonga kama mmea kati kati ya msitu wenye miiba?

AU 

Je, ni kikwazo gani kinakutatiza katika kutimiza ndoto yako?


Majibu ya maswali hayo na mengine mengi nimekuandikia katika ebook hii utakayoweza isoma mahali popote na wakati wowote. 

Usipange kukosa ebook hii iliyojaa nguvu ya kukuinua toka sehemu Moja hadi nyingine. 

Kumekuwa na watu wengi vijana Kwa wakubwa, Cha ajabu hadi watoto nao wamekatisha/ katishwa ndoto zao kutokana na yale waliyowahi kupitia au wanayapitia leo.

Wengi wamesahau kwamba katika safari yoyote inahitajika vitu vitatu vya muhimu unavyotakiwa kutembea navyo Kila mahali ( Maono, Mchakato pamoja na Hatima) ambayo vimebeba ujumbe wa kitabu hiki NJIA NILIZOPITA.

1. SHIKILIA MAONO YAKO. Hiki ni kitu  cha kwanza katika maisha yako kama ambavyo umeshikilia Imani yako ya Kidini,kisiasa, falsafa au hata tamaduni yako.

2. AMINIA MCHAKATO. Amini usiamini hii hatua lazima uipitie, hata wanaoinekana Wana maisha mazuri sana leo basi jua walikaa miaka kadhaa nyuma wakipitia magumu na machungu mengi lakini walibebwa na Ile Imani yao ya kwamba ipo siku watafsnikiwa.

Matatizo, changamoto,dharau,dhuluma na kukataliwa kwako visikutoe kwenye malengo yako, tambua huo ni mchakato wa kukupeleks eneo lako la ahadi.

3.FURAHIA HATIMA YAKO. Mwisho wa mambo yote ni kufurahia mafanikio yako uliyoyatesekea Kwa muda mrefu. Hapa ndipo ambapo Kila unaemuona barabarani, mtaani akipambana Kwa kadri anavyojua ili kuifikia hatua hii. Lakini Usisahau kwamba ili uweze kufika hatua hii ni lazima hatua ya 1 & 2 uzipitie kwanza, lazima ushikikilie maono yako na uamini mchakato unaoupitia.

KWANINI UNUNUE ebook hii?

NJIA NILIZOPITA, ni ebook iliyojaa nguvu ya kukuinua msomaji toka chini kwenda juu, utajibiwa maswali yako ya kijamii, kiuchumi na hata kiutamaduni ambayo hujawahi hata jiuliza.

Kwa kuijali na kuithamini jamii yangu, ebook imewekewa bei rafiki kabisa ya Tsh 5,000/= tu kwani ingeweza kuuzwa hata Tsh 50,000/= .Bei imelenga wasomaji wote wenye vipato vya chini,Kati na juu waweze kukilipia na kunufaika na madini haya.


Nakuhakikishia hautajutia Kwa kununua ebook hii, ila unaweza jutia kwanini IMECHELEWA KUTOKA Ili unufaike nayo mapema.

Ni rahisi kuisoma mahali popote na wakati wowote utajengwa kupitia ebook hii.


Kwasababu nina na kilichopo ndani yake kwamba kinaweza kukujenga na kukubadilisha mitazamo tofauti tofauti, basi nakupa Garantii ya Wiki mbili baada ya kukinunua endapo hakitakusaidia utaomba kurudishuwa gharama zako na ebook utabaki nayo.


Namna ya kukinunua angalia simu yako kitufe kimeandikwa "BUY NOW" bonyeza hapo Kisha utajaza taarifa zako na kukilipia, baada ya malipo utakipata Moja Kwa Moja kupitia simu yako.


Ahsante Kwa kuathubutu kununua kitabu hiki ni ishara tosha kwamba upo tayari kubadilika kimaisha toka chini kwenda juu.


Usisahau kutupatia mrejesho wako baada ya kuisoma ebook hii kupitia namba hii 0715374445 ( Kawaida na WhatsApp), ni Kwa namna gani imekusaidia kukujenga eneo moja au zaidi.

MUNGU AKUBARIKI SANA MSOMAJI WANGU.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold