NJIA 7 ZA KUTAJIRIKA MTANDAONI
NJIA 7 ZA KUTAJIRIKA MTANDAONI Mitandao ya kijamii ni nini haswa? Mitandao ya kijamii ni viungo ambavyo vinatumika kuwaunganisha watu kutoka sehemu mbalimbali duniani, na kuwawezesha kushirikiana kufanya mambo mbalimbali Kama vile kiuchumi, kijamii, kisiasa, kiutamaduni, kimichezo na kadhalika, kwa njia ya maunzi laini ( software ). Kwa sasa mitandao ya kijamii Kama vile Facebook, Instagram, YouTube, Netflix, Twitter na mengineyo mingi, hutumika zaidi katika shughuli za kiuchumi kwa sababu huokoa muda na pia ni njia salama zaidi kwa watumiaji. Nchi za Ulaya na Marekani pamoja na baadhi ya nchi za Asia Kama vile China na Japan, zimepiga hatua kubwa katika suala Zima la matumizi ya mitandao ya kijamii kwa masuala ya kiuchumi.
Kwa nini tulalamike hatuna ajira? He mitandao ya kijamii hatuioni? Au hatujui matumizi yake?
Fuatana na me katika kitabu hiki utajifunza mengi jinsi ya KUTAJIRIKA na mitandao ya kijamii
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza