Nitaishi Na Nani?
Suala la Malezi na Makuzi katika Jamii yetu baada ya Utamaduni wa Jando Na Unyago kusahaulika Kwa muda mrefu, sasa limepata suluhisho mojawapo kwa njia ya Kitabu hiki kinachoelekeza namna bora ya kujenga Familia Bora ambayo ndio Taasisi ya Msingi katika Maisha ya Jamii Imara na Endelevu.
Nitaishi na nani..
KUELEKEA KUFANYA MAAMUZI.
Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote. Yakobo 1:9.
Katika kufanya maamuzi ni muhimu sana kutambua kuwa matokeo
yake yanaweza kuwa ya muda mrefu au mfupi, kinachopelekea kufanya
jambo lolote liwe jema au baya ni matokeo ya maamuzi uliyoyafanya,
pasipo kuamua ndani hakuna lolote linalotendeka hivyo hakuna athari
yoyote, hata kukaa kima ni matokeo ya uamuzi ulioufanya, yaani
unaweza kuamua kufanya au kutokufanya, unaweza kuamua
kuzungumza au kunyamaza. Jambo la msingi katika kufanya kwako
maamuzi ni lazima kuzingatia neno la Mungu linasaemaje juu ya
unaloamua. 1wakorintho 10:31
JIPATIE NAKALA YAKO SASA, UJIFUNZE ZAIDI
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza