NISAIDIE KUMZIKA
Patrick na Jonathan ni mtu na rafiki yake,japo Jonathan alikua anaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.siku moja wakiwa ofisini Jonathan alipagawa na kuanza kujirusha huku na huku,Patrick aliamua kumsaidia rafiki yake.Lakini Jonathan alimuuma Patrick pembeni ya kidole mkono wa kulia,ikabidi Patrick aanze dawa za kuzuia maambukizi ya virusi vya UK I MW I.rnWakati hayo yote yanatokea Penina mke wake na Patrick alikua ameenda kujifungua kijijini kwao Endasiold huko Manyara.Patrick na Jonathan wakiwa bado kazini Penina alirudi nyumbani kwa surprise na kukuta kopo la dawa za ARV likiwa na vidonge viwili tu.rnPenina akimtazama mwanae mdogo kwa hasira akaamua kujiua,Patrick anapata kesi ya kumuua mke baada ya mashuhuda kuthibitisha hilo.Patrick akiwa gerezani anamwambia rafiki yake Jonathan ujumbe mzito NISAIDIE KUMZIKA mke wangu,Japokua mimi na wewe hakuna mwenye kosa.
rnrn
Patrickrnna Jonathan ni mtu na rafiki yake,japo Jonathan alikua anaishi na maambukizi yarnvirusi vya UKIMWI.siku moja wakiwa ofisini Jonathan alipagawa na kuanzarnkujirusha huku na huku,Patrick aliamua kumsaidia rafiki yake.Lakini Jonathanrnalimuuma Patrick pembeni ya kidole mkono wa kulia,ikabidi Patrick aanze dawa zarnkuzuia maambukizi ya virusi vya UK I MW I.
rnrnWakatirnhayo yote yanatokea Penina mke wake na Patrick alikua ameenda kujifunguarnkijijini kwao Endasiold huko Manyara.Patrick na Jonathan wakiwa bado kazinirnPenina alirudi nyumbani kwa surprise na kukuta kopo la dawa za ARV likiwa narnvidonge viwili tu.
rnrnPeninarnakimtazama mwanae mdogo kwa hasira akaamua kujiua,Patrick anapata kesi yarnkumuua mke baada ya mashuhuda kuthibitisha hilo.Patrick akiwa gerezanirnanamwambia rafiki yake Jonathan ujumbe mzito NISAIDIE KUMZIKA mke wangu,Japokuarnmimi na wewe hakuna mwenye kosa.
rnrnSold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza