NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAPITO YANGU
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 26, 2022
Product Views:
1,076
Sample
Ni kitabu kinachoeleza baadhi ya mapito yangu na vitu ambavyo nilijifunza kupitia hayo mapito na namna yalivyonisaidia kuwa hivi nilivyo leo.
Kitabu hiki kimeelezea kwa ufupi kuanzia nasoma mpaka namaliza elimu ya juu, kabla ya kuokoka na baada ya kuoata wokovu. Mapito yanasaidia mtu kulijua kusudi la kuubwa kwake, mapito niliyopitia leo yamenifanya kuwa mwandishi mzuri wa vitabu na pia kumtumikia Mungu kama Mwalimu wa Neno la Mungu na kutoa ushauri hususani vijana wanaokabiliana na changamoto tofautitofauti.Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza