Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nilivyompenda Mlinzi Wa Getini Kwetu Bila Kujua Ni Bilionea Anayetafuta Mke - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 21, 2022
Product Views:
1,836
In category:
Sample

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE

 

 

Mwandishi Mika Author

Whatsapp 0768315707

 

 

 

 

 

 

 

 

 

EP 01

"Norah, we Norah samahani kidogo" Alisema Prosper baada ya kufungua geti ili Norah mtoto bosi aingize gari ndani. Norah alishika Breki na kutoa kichwa nje ya kiyoocha gari. "Unasemaje wewe!" Aliuliza Norah kwa sauti kali.

 

"Mbona mkali hivyo? Haya vipi sasa kuhusu lile jibu langu?" aliuliza Prosper. Ilibidi Norah atoke nje ya gari. "Hivi wewe Prosper una matatizo ya akili eeh" aliuliza Norah huku akiwa  ameshika kiuno. 

 

"Inawezekana kwasababu matatizo yangu ya akili yanasababishwa na kukipenda wewe, nikubalie Norah" Alisema Prosper."Nahisi umevurugwa wewe sio bure yani mimi ndio wa kuwa mtu kama wewe, kazi yenyewe kufunga na kufungua geti" aliongea Norah huku akimsogelea Prosper na kumtemea mate usoni. 

 

Belinda mdogo wake Norah ambaye alikuwa kabaki ndani ya gari, aliamua kutoka garini na kumtuliza dada yake. "We Norah nawe kwani Prosper kakutukana mpaka umtemee mate? Kila mtu ana haki ya kueleza hisia zake haijalishi atakataliwa au atakubaliwa lakini hivi ulivyomfanyia Prosper sio uungwana" Aliongea Belinda. 

 

"Huyu kazidi huyu, kila siku ananiuliza jibu langu vipi, yani akiniangalia nina hadhi ya kuwa naye au hata kutembea naye barabarani? Wewe mbwa! Niheshimu mimi ni mtoto wa bosi wako?" alisema Norah kisha akaingia kwenye gari na kwenda kulipaki kwenye maegesho yake.

 

Pale getini alibaki Norah na Belinda. "Yani dada yangu sijui anachoringia ni nini haswa,  hajui maisha yanabadilika haelewi hilo mh shauri yake, usijali Mwaya kaka Prosper ila kesho nilitaka nikutoe out kidogo, twende sehemu tuongee unielewe maisha yako, mimi nitakusaidia hata mtaji ukafanyanye biashara ndogondogo inaniuma sana jinsi unavyotumikishwa hapa nyumbani, juzi nilichukia sana. Norah kakojolea kwenye kopo ndani anakuita mlinzi ukamwage mkojo yani!

 

Alisema Belinda!

 

JE NINI KITAENDELEA? ITAKUWAJE KAMA BELINDA AKIJUA KUWA MTU ANAYETAKA KUMSADIA NI BILIONEA ALIYEKUJA NYUMBANI KWAO NA KUJIFANYA MLINZI WA GETINI KUMBE LEO LAKE ANATAFUTA MKE???? ITAKUWAJE SASA.. NIJEEEE AU ???!

 

 

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE...

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold