Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nidhamu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NIDHAMU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,950 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 22, 2024
Product Views:
640
In category:
Sample

Nidhamu ni nguzo muhimu na ya kipekee kuwezesha mtu yeyote kusonga mbele, kufanikiwa na hivyo kukomesha hali ya kukwama, kushindwa na kudumaa kukoma.\r\n\r\n\r\nKila anayefanya vizuri maishani ni lazima azingatie kwa umakini nguzo hii na kadri inavyokuwa imara kwako ndivyo unavyostawi na kudumu katika mafanikio. Kukosa ujenzi akinifu wa nguzo hii imefanya mafanikio ya wengi kuanguka na kuwa watu wa hadithi za nyuma yaani kipindi kile tulikuwa tunafanya vizuri na hivyo kupelekea kukosa mguso endelevu katika jamii inayowazunguka.

Nidhamu ni nguzo muhimu na ya kipekee kuwezesha mtu yeyote kusonga mbele, kufanikiwa na hivyo kukomesha kila hali ya kukwama, kushindwa na kudumaa kukoma.

 

Kila anayefanya vizuri maishani ni lazima azingatie kwa umakini nguzo hii na kadri ninavyokuwa imara kwako ndivyo unavyostawi na kudumu katika mafanikio.

 

Kukosa ujenzi akinifu wa nguzo hii imefanya mafanikio ya wengi kuanguka na kuwa watu wa hadithi za nyuma yaani kipindi kile tulikuwa tunafanya vizuri na hivyo na kupelekea  kukosa mguso endelevu katika jamii inayowazunguka.

kitabu hiki ni mahususi kwako wewe ambaye umechoka ukawaida na umedhamiria kuishi katika taratibu na mipaka itakayokusukuma kuwa bora zaidi ya jana. 


More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold