NGUVU YA MWANAMKE
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 14, 2022
Product Views:
2,844
Sample
Ijue NGUVU Iiliyo mdani ya mwanamke Ili uishi naye kwa mafanikio makubwa.
NGUVU YA MWANAMKE
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo mengi mazuri na ya muhimu sana yanayohusu nguvu iliyo ndani ya mwanamke. Kwa hakika kitabu hiki kitakuongezea uelewa mkubwa kumhusu mwanamke. Kama wewe ni mwanamke utajitambua na kuanza kuitumia nguvu iliyo ndani yako kwa manufaa yako na jamii, pia kama wewe ni mwanaume utaiona thamani kubwa ya mwanamke aliye karibu yako.
Kwa umuhimu wake kitabu hiki kwa hakika kinatakiwa kusomwa na kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ili apate faida yeye na wale wanaomzunguka
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza