Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nguvu Ya Kuacha Alama The Power Of Legacy - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Nguvu Ya Kuacha Alama: The Power Of Legacy

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
30,000 Tsh. 20,000 Tsh.
Discount Code : Z79979f
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 27, 2021
Product Views:
3,078
In category:
Sample

Namna unavyoweza kuacha alama kama alivyofanya Julius Kambarage Nyerere, Steve Jobs, Michael Jordan, Myles Munroe, John Pombe Magufuli, na wengine wengi

Motivational speakers wengi, pamoja na watu maarufu kwenye jamii huishia tu kukuambia,

....ACHA ALAMA KABLA HUJAFA, 

....KIJANA WEKA LEGACY YAKO, 

....USIFE KAMA KUKU, FANYA JAMBO LA TOFAUTI KWENYE JAMII YAKO

....BADILI HISTORIA YAKO NA YA FAMILIA,.....


.....lakini hawakuambii kwa kina unafanyaje-fanyaje na unafikaje-fikaje huko.


Kitabu hiki kimekuja pamoja na hayo majibu.


Hata kama hujielewi-elewi ikiwa ulikuja duniani kwa kusudi la Mungu, au kwa mapenzi ya wazazi wako, au kwa bahati mbaya... Kitabu hiki kimekuja kukusaidia.


Hata kama umekata tamaa kwa sababu ya jamii kutokutambua thamani ya kipawa chako au kile unachokifanya... Kitabu hiki kimekuja na Njia Mbadala itakayokusaidia kutoka hapo ulipo, na kwenda mbele au juu zaidi.


Kama hauna mpango wa kuambiwa ukweli unaouma, na wenye manufaa ya kukusaidia kuwa Mtu mkuu, mwenye thamani, na wa kuheshimika katika jamii yako kuanzia kesho...Basi USISOME HIKI KITABU. Kaangalie tu Video za Vichekesho, Ucheke weee ili Uzeeni uje Ulie ukiwa na Majuto mengi ya kwanini hukuutumia Ujana wako vizuri.


Na zaidi sana, ni kitabu kilichojaa mifano ya watu wa kawaida kama wewe (unavyojiona), lakini waliweza kuigusa jamii kwa namna ya ajabu kwa kufuata hatua kadhaa zisizojulikana kwa wengi.


Watu kama Mwl. Julius Nyerere, Dkt. Myles Munroe, Dkt. John Pombe Magufuli... Walikuwa watu wa kawaida sana, wanaopitwa njiani bila kusalimiwa hata na Mjumbe wa Nyumba kumi.


Lakini walipotumia SIRI ZILIZOMO NDANI YA KITABU HIKI, kila mtu alitamani kuwasalimia, kupiga nao picha, na kuishi nao.


LEO wameondoka duniani, KILA MTU ANATAMANI ANGEKUWA WAO, au angefikia walipofika, au angefanya walichofanya ulimwenguni.


Huna haja ya kuendelea kuwaza, Hivi na mimi Nitafikaje huko? Nitafanyaje? Nitaambatana na nani wa kunisaidia kufika huko? Hivi ni rahisi au ni kazi ngumu?, na mengine mengi.


JISOMEE KITABU HIKI LEO. HAUTAJUTIA HATA SIKU MOJA.


( UKIELIMIKA WEWE, BASI NA UZAO WAKO WOTE UTAKUWA UMEELIMIKA ).


BOFYA KITUFE CHA BUY NOW HAPO JUU - KUJIPATIA KITABU CHAKO SAHIVI


More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Martin Tindwa

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold
10,000 Tsh.

Sold by: Yusuph Kaungo

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

4,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh.

Sold by: Sabra Amran