NGUVU YA AGANO INAVYOWEZA KUATHIRI MAISHA YA MTU
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 10, 2024
Product Views:
660
Sample
AGANO:Ni makubaliano au mkataba katiYa watu au kikundi rnambacho kimekubaliana kufuata masharti na taratibu zilizo wekwa. rnAgano linaweza kuwa la kisheria au la kijamii na linaweza rnkujumuisha ahadi za pande moja au za pande zote mbili.
Wakristo wengi wamekuwa wakisali sana, wakitoa sadaka sana, wakiomba na kuombewa, bado hawapati majibu sahihi ya yale wanayoyaombea, na matokeo yake wamekuwa wakristo ambao sio matajiri, wagonjwa na waliokata tamaa, wakati lengo la YESU lilikuwa ni wafuasi wake wafanikiwe ila wamebaki wanajifariji kuwa changamoto wanazopitia ni mapenzi ya Mungu, lakini changamoto kubwa ni kwamba Biblia inasema
watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa (hosea 4:6)
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza