Nguvu Na Uwezo Katika Kinywa
NAKUSALIMU KWA JINA LA YESU?
KITABU HIKI KIMEANDIKWA ili kuonyesha na kufundisha ni kwa jinsi gani matumizi sahihi ya kinywa katika kunena, yanaweza kuleta baraka katika maisha ya mwanadamu.
Licha ya baraka, matumizi mabaya ya KINYWA katika kunena, yanaweza kuleta laana katika maisha ya mwanadamu.
Changamoto nyingi ambazo zinawapata wanadamu leo ni matokeo ya maneno waliyo nena au kunenewa awali bila kujua athari zake baadae.
Kutokana na ukweli huu imepelekea watu wengi kupoteza haki zao, kazi zao, wapendwa wao, na wengine kuishia magerezani. Kwakweli inasikitisha.
Mungu Akubariki Sana.
BOFYA KITUFE CHA \\\\\"BUY NOW\\\\\\\" HAPO JUU - KUJIPATIA KITABU CHAKO SAHIVI
Ev. Fransis Nyakirimula
+255 659 3397 87, +255 620 339 787