NGUVU ILIYOPO NDANI YA MOYO
Ukisikia moyo unapata picha gani kwenye akili yako? Ukiulizwa kitu cha kutunza kuliko vyote ni nini, utajibu kitu gani? Jibu langu bila kupepesa macho ni MOYO. Kwanini moyo? Kwa sababu ya Nguvu iliyopo ndani ya moyo. Unataka kuijua hiyo nguvu ni ipi? Hebu soma kitabu hiki unufaike vilivyo. Nakuhakikishia hutakuwa kama ulivyokuwa.
Moyo ni kiungo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Kitabu hiki hakielezei moyo kama kiungo cha kusuma damu lakini ni Kama kiwanda cha kuzalisha aina na kiwango cha ubora wa maisha yako. Ukisoma kitabu hiki utaelewa kwanini nasema moyo ni kiwanda. Karibu ujipatie nakala yako na hakika hutojuta kufungua kurasa za kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza