Ngao Ya Ajira
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 08, 2022
Product Views:
4,482
Sample
Ngao Ya Ajira
Ni kitabu ambacho kinakupa maarifa mengi katika ujuzi wa sheria za ajira na mahusiano kazini. Hii itakusaidia wewe ambaye umeajiriwa au mwajiri kufuata kanuni na taratibu za sharia na kutambua maslahi na stahiki zako, kwa kuzingatia haki na wajibu. Itaondoa unyanyasi, ubaguzi na kuminya au kuminywa kwa stahiki na maslahi ya mfanyakazi au mwajiriwa mahala pa kazi na kuimarisha ustawi wa utendaji uliotukuka, utakaoleta ufanisi mzuri katika kazi na tija, mahusiano mazuri katika ajira.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza