NENDA
Maishani mwangu niliamini; unyenyekevu na heshima vinaweza kuwa dira kwa mwanaume nimpendaye. Niliamini itakuwa kinga ya kudumisha mahusiano, na kufikia hatua nzuri, ile ibarikiwayo kwa utunuku wa cheti. Na uhalalisho toka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika! Pasi na chembe ya shaka. Au imani, nilidiriki kumkabidhi hisia zangu kwa asilimia zote. Kiasi cha kutokuwa msikivu kwa lolote baya nisikialo juu yake. Sikuwa na budi kujivika utumwa wa upendo. Naweza sema hivyo, kwa ajili ya kutunza yangu siha. Na kuhimarisha uhusiano, huku nikisahau, u-hawara, haupaswi kuwa na majivuno. Lakini mimi nilijivunia. Kitendo kilichopelekea kujihalalishia mateso ambayo ni ngumu pasi na kuyaachia historia yenye kumbukumbu. Nimeamua kushirikiana nawe katika kumbukizi hizi. Ili usipitie makosa ambayo nimepitia. SONGA NAYO UNONOKE...
Yumkini ni muumini mkubwa wa mateso
yasababishwayo na hisia za kimapenzi na umeshindwa kuziamulia.
Daima huachi kujiuliza, utaanzaje kuchukua hatua?
Nakusihi, soma sasa kitabu cha riwaya pendwa kiitwacho
NENDA, kitakupa haamasa ya kuchukua uamuzi uliojifutika kibindoni.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza