NEEMA IMEFUNULIWA
Price:
12,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 21, 2024
Product Views:
858
Sample
Hii ni hadithi inayoangazia maisha ya kijana Mkristu mwenye ndoto yakumtumikia Mungu na hatimaye anafikia ndoto hiyo haikuwa rahisi kwake amepitia mambo mengi mazito nayenye kumkatisha tamaa ikiwemo vita ya kiroho katika ulimwengu wa giza fuatilia hadithi hii yenye uhalisia wa maisha ya kweli.
Ni hadithi ambayo itaenda kuleta uchochezi wa kuishi imani ya kikristu katika maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kutafuta nguvu za Mungu lakini uhalisia wa kweli ipo nguvu ya Mungu katika kila mmoja wetu tuitumie vizuri hadihti hii itakufunguwa mengi usiyo yajuwa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza