Ndoto Yako Ni Kubwa Kuliko Changamoto Zako
Ndoto Yako Ni Kubwa Kuliko Changamoto Zako.Mbinu Muhimu Za Kukabiliana Na Changamoto Ili Uweze Kufika Kwenye Ndoto Yako
Ni kweli kwamba hakuna mtu ambaye hajapitia changamoto mbalimbali za maisha na akafika eneo ambalo yupo kwa sasa lakini kubwa sana la kulielewa ukiwa kama kijana mwenye ndoto kubwa ni namna ya kukabiliana na changamoto zozote katika safari yako ya kuelekea kwenye ndoto zako. Katika kitabu hiki kitazungumzia hasa kile ambacho Mungu ameniagiza kuzungumza na vijana juu ya namna ya kukabiliana na changamoto za ujana. Nikiwa kama kijana niliwahi kupitia changamoto nyingi sana katika uchumi, katika mahusiano, katika biashara na katika hizo hizo changamoto. endelea ...........!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza