Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ndoto Yako Inawezekana - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Ndoto Yako Inawezekana

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2022
Product Views:
842
In category:
Sample

Kitabu hiki ni mahususi kwa kila mtu ambaye ana ndoto ya kuwa mtu fulani au kufanya kitu fulani. Utakapo soma kitabu hiki na kufanyia kazi mafunzo yaliyopo ndani yake, ndoto yako itakuja kwako kwa wepesi usiodhani. Kwa kifupi, kitabu hiki ni mafunzo ya namna ya kutambua na kutimiza ndoto yako; kimeandikwa kwa namna ya kipekee ambayo sio nadharia lakini ni mpango mkakati uliotokana na mwandishi kutimiza ndoto zake na wengine alio wafundisha kutimiza ndoto zao.

Kutimiza ndoto ni kama safari ya kwenda mahali; kutoka ulipo sasa mpaka mahali ndoto yako inatimia ni SAFARI

Utahitaji CHOMBO cha usafiri, utahitaji kulipa GHARAMA, utahitaji kujua MWELEKEO na kufahamu kuwa itachukua MUDA ili kufika pale ndoto yako itakapotimia.

Ni vyema kufahamu kuwa, kwenye safari ya kutimiza ndoto, tusing’ang’anie tu kule tunako kwenda tu  (HATIMA| MWISHO), tukumbuke kuwa hata NJIA (na mambo yanayo fanyika njiani) ni sehemu muhimu ya kutimiza ndoto yako. 

Kuna mambo muhimu hutokea unapokuwa njiani ambayo yana sehemu kubwa katika kukuandaa KITABIA na MWENENDO ili uweze kuhimili MAISHA utakayoishi ukisha itimiza ndoto yako.

Ndio maana ni muhimu ukajipanga, ukachagua njia utakayotumia, chombo utakachotumia na pia angalia gharama ulizo tayari kulipa; usije ukafika kwenye ndoto yako ukakuta umelipa gharama kubwa kuliko unavyoweza kustahimili.

Kitabu hiki kitakusaidia HATUA kwa HATUA, sura kwa sura namna gani utaweza kujitambua, kutambua ndoto yako, kuiamini na kuitimiza.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold