Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ndoto Unazoota Na Uhalisia Wake - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

NDOTO UNAZOOTA NA UHALISIA WAKE

0
1
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 06, 2024
Product Views:
651
In category:
Sample

NDOTO UNAZOOTA NA UHALISIA WAKE. Fahamu kuwa ndoto zako zina nguvu ya kuamua hatma yako ndiyo maana huwa zinakupa shida moyoni

Mtu yeyote anayeipuuza ndoto anaipuuza hatma yake pia. kesho za watu zimefumbwa katika mafumbo. Hivyo baba yetu aliye mbinguni kwa Roho wake hutufunulia ssisi kwa namna nyingi kuyajua mafumbo hayo. 

Ndoto ni moja ya njia ambazo Mungu huzitumia kutuonesha mafumbo ya kesho. Sasa kama ambavyo wengi huangamizwa kwa kukosa maarifa ndivyo ambavyo kwa uhaba wa maarifa juu ya ndoto watu huangamizwa japo Mungu anakuwa amewaonesha hatari au MADHARA yaliyoko mbele yao. 

Katika kitabu hiki utaona jinsi ambavyo ndoto huwa zinafanania maisha yetu kabisa, utajua vyanzo vya ndoto zetu na namna ya kuahirisha ama kupishia mbali hatma yoyote mbovu iliyoletwa kwa taarifa ya ndoto. Pia utaona ndoto common ambazo watu huota, muongozo wa tafsiri zake na namna ya kushughulikia kubadili hizo hatma za namna hii kwenye ndoto. 

JIPATIE NAKALA NYINGINE KUTOKA KWA PASTOR TONY OSBORN

MUONGOZO WA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA NA BARAKA ZA KILA MWEZI https://www.getvalue.co/prod/muongozo_wa_maombi_ya_kufungua_mwaka_na_baraka_za_kila_mwezi 

SILAHA ZA VITA VYETU https://www.getvalue.co/prod/silaha_za_vita_vyetu

KUUWEZA WAKATI UJAO https://www.getvalue.co/prod/kuuweza_wakati_ujao

MATTERS OF THE BLOOD https://www.getvalue.co/prod/matters_of_the_blood

SIGNS AND TOKENS https://www.getvalue.co/prod/signs_and_tokens

KWAKUA SASA UMEOKOKA https://www.getvalue.co/prod/kwa_kuwa_sasa_umeokoka

CHRISTIANS IN THE BUSINESS WORLD https://www.getvalue.co/prod/christian_in_business_world

DEALING WITH ADDICTIONS https://www.getvalue.co/prod/dealing_with_addictions

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold