NATAMANI KUANZA KUSOMA VITABU
Mwongozo Wa Kujenga Tabia Ya Kusoma Vitabu. Katika kitabu hiki utapata kujifunza mambo yafuatayo;\r\n1. Faida za kusoma Vitabu\r\n\r\n2. Kwanini watu hawasomi vitabu\r\n\r\n3. Namna ya Kujenga Tabia ya Kusoma Vitabu.\r\n\r\n4. Kanuni ya 2 × 3 × Akili: Ukiifahamu kanuni hii hautawahi kuishiwa pesa mfukoni.\r\n\r\n5. Tovuti zaidi ya 20 za kupata vitabu bure mtandaoni.\r\n\r\n6. Orodha ya vitabu zaidi ya 100 unavyoweza kuanza navyo kuvisoma.\r\n\r\n7. Namna ya kumjengea mtoto mdogo tabia ya kusoma vitabu.\r\n\r\n8. Siri walizozificha matajiri kuhusu vitabu.\r\n\r\n9. Siri walizoficha wanawake wanaosoma vitabu.
Pamoja na kuwa mwandishi wa vitabu 6 sasa na hiki kikiwa cha 7 mimi pia \r\nni msomaji mzuri wa vitabu na makala. Nimefanya kujifunza kama sehemu ya\r\n maisha yangu na mojawapo ya kitu ninachofurahia. Mpaka sasa nimesoma \r\nvitabu vingi sana na matokeo chanya ya usomaji wa vitabu nimeyaona. \r\nSijawahi kujutia kupoteza hata shilingi moja kwenye kununua kitabu \r\nchochote kila kitabu nilichosoma kwa namna moja ama nyingine \r\nkimenisogeza katika hatua fulani ya kimaisha. Naweza kusema kwangu mimi \r\ndunia isiyo na vitabu ni sawa na kwamba umeninyima oksijeni. Bila \r\nvitabu siishi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza