
Nani Atasimama Pamoja Nami?
Ujasiri Hauhitaji Umati, Mimi Ndiye Nahodha wa Maisha Yangu
NANI ATASIMAMA PAMOJA NAMI? Ni kitabu ambacho kinaelezea safari ya maisha nyakati ngumu anazopitia mwanadamu, nyakati zenye maswali mengi na magumu yasiyoweza kueleweka kwa ndugu, rafiki wala jamaa wa karibu na kuona kama duniani kabaki peke yake.
Nani atasimama pamoja nami wakati upepo wa maisha unavuma kwa nguvu, wakati dunia inanikataa na giza linaziba mwanga wa maisha yangu? Ni yupi atakayenishika mkono wangu, si kwa maneno tu bali, akinihimiza kusonga mbele bila hofu? Rafiki yangu gani atabaki nami hata wakati sauti yangu imenyamaza kwa maumivu? Je, ni nani wa kusimama pamoja nami? Maswali na majibu yote utayapata katika kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza